BK WA WANAUME HALISI AMEFARIKI DUNIA LEO


Mmoja ya wasanii waasisi wa kundi la Wanaume Halisi Baraka Masale au "BK" amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili. BK alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo kwa muda mrefu. Tunawapa pole ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wote wa BK kwa msiba huu. Hakika bongofleva imepoteza moja ya wanamuziki wazuri.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates