TUNAHITAJI VIDEO MODEL WA KIKE AWE QUEEN KWENYE VIDEO MPYA YA NASSIR WA VANILLA

Nassir vanila & malika
mkali wa muziki pendwa wa bongo fleva toka kisiwani zanzibar Nassir wa vanila toka VANILA CLASSIC anatarajia ku short video iv karibu hapa hapa zanzibar akipiga story na chiwileinc amunguka kua video ilitakiwa ifanyike toka mwanzo wa mwezi huu ila ilishindika kutokana na kukosa video  Queen (mwanamke) wa kung'arisha video hiyo ambyo itafanyika hapa hapa zanzibar kupitia NO FEAR PRODUCTION chini ya dirctor Dj Unlucky so kama we ni mrembo na unahitaji kuwepo kwenye hiyo video unaweza kawasilia  kwa namba izi hapa
0712-084660 
Or
0656885191

nyimbo inayoka video model  hii hapa sikiliza

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates