HUYU NDIO MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE

Inaaminika kuwa  Ms Maria Seguar-Metzgar Pichani mwenye umri wa miaka 105 yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki 86 kwenye Facebook.




Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates