FILAMU YA MDUNDIKO KURUDIWA TENA KESHO

Filamu ya MDUNDIKO juzi ili  yawashangaza maelfu ya watu walio jitokeza Ziff, yafurahiwa na kupigiwa makofi kwa wingi, Filamu hiyo itarudiwa tena kesho siku ya ijumaa tarehe 5 muda saa 2:00 pm katika ukumbi wa wavuvi Restaurant hivyo watu wajitokeze kwa wingi kuja kuitizama filamu hiyo ya MDUNDIKO.

Siku hiyo atakuwepo Director wa filamu hiyo JACKSON KABIRIGI, atakuwepo TIMOTH CONRAD pia watakuwepo wasanii walio shiriki katika filamu hiyo akiwepo DOKII aliye shiriki kama NUNI, RADO aliye shiriki kama LUBOA, HISANI MUYA AU TINO aliye shiriki kama LUMO, LUMOLWE MATOVOLWA aliye shiriki kama MZEE NJIMBA, MZEE MASINDE aliye shiriki kama MZEE KONDO.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates