KWENYE PROFILE LEO TUNAMLETA DJ ZORO


Jina langu naitwa zahoro salum ally i was born  25/7/1992 mnazi mmoja hosptal in Zanzibar for real napenda sana kazi ya udj na namatajio ya kufika mbali kwa hii kazi coz nina malengo nayo na kila siku  nimekuwa niki buni vitu vipya hee mungu nisahidie kwa kazi ya mikono yangu kwani matarajio yngu kuwakilisha Zanzibar na Tanzania kwa hii fan thanks for your support

unaweza kuchat na Dj zoro kupitia: www.facebook.com/djzoro.man


CHEK VIDEO DJ ZORO AKIFANYA MIXNG,,,,,

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates