LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA, ISON A.K.A ISON MWANAHARAKATI


aNAITWA ISSA SWALEH ABDULLAH ABUUBAKAR Amezaliwa 4/9/1988/ Muembe ladu Hospitol : Elimu ya msingi shule ya Kilima hewa na  secondry kwamtipura kipindi chote cha masomo nilikua nikiishi Mikunguni : baba yangu mzazi ali fariki nikiwa tumboni hukotanga nakuzikwa uko kwakua uko ndiko aliko zaliwa
Kwa sasa nime ajiriwa na kampuni ya biashara katika kiwanja cha ndege zanzibar nimeowa na nina watoto wawili wakiume mkubwa anaitwa ISMAIL na mwengine anaitwa MALIQ . Mama yangu mzazi anaitwa SOPHIA

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates