PICTURES TATU ZA MTOTO WA DONISYA TOMAS WA BOMBA FM ZANZIBAR



Joan Donisya Thomas 
YES!!!! HE IS COLLIN ( ABDUL-RAHEEM) MY BABY BOY!!!! namshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto huyu wa kiume huyu ndie tumaini langu, faraja yangu na mwanga wa maisha yangu amekuja kunipa faraja na kunifuta machozi baada ya kilio cha muda mrefu Mungu anilindie mwanangu aje anifae mimi na taifa langu nampenda saaaaaaana mwanangu nampenda pia baba wa mtoto huyu!!!

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates