LADY GAGA AWA KIVUTO TUZO ZA MTV VIDEO

 

Muimbaji asiyeisha vituko Lady Gaga akiwa na Miley Cyrus wakitumbuiza kwenye ufunguzi wa utoaji  wa tuzo za MTV Video Music Awards mwishoni mwa wiki, shoo hiyo ni ya kwanza kwa Gaga mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutengeneza hips.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates