BAADA YA KUPIGWA JUNGU NA NEY WA MITEGO SASA HAJI RAMADHANI AJA NA SINGO MPYA

Baada ya Ney wa mitego kumdisi Haji Ramadhani kwenye wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Salam zao,Haji sasa anasema hajafuria na anaishukuru BSS na huu ni wimbo wake mpya aliofanya chini ya stodio za Jaraman Record iliyopo kinondoni na video chini ya Apex Video by Pablo. Haji anapenda kuwafahamisha mashabiki wake kua wakae mkao wa kula kwa sasa anaandaa Movi yake ya kwanza ambapo nimoja ya kuonesha uwezo wake kwenye upande wa kuigiza. Nashukuru mungu Video yangu ina wiki moja mpaka sasa na inafanya vizuri kwenye Tv stesheni za Tanzania na nnje pia.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates