Madee anasema kuwa ameanza kujenga nyumba hiyo mbezi kimara miaka minne iliyopita na Mungu akipenda amepanga kuhamia siku ya Birthday Yake mwakani tarehe 23 April 2014.
Home »Unlabelled » Madee Ametumia Kiasi Gani Cha Fedha Kujenga Nyumba Yake Na Atahamia Lini, Yote Hapa
Madee Ametumia Kiasi Gani Cha Fedha Kujenga Nyumba Yake Na Atahamia Lini, Yote Hapa
By Unknown • 1:20 PM • • Comments : 0
Upate
- Msanii wa kundi la Tiptop, Madee amesema kuwa nyumba yake ambayo
amejenga mbezi kimara imemgharimu karibia milioni 125 na mpaka sasa
nyumba hio haijakamilika kama vile anavyotaka yeye.
Madee anasema kuwa ameanza kujenga nyumba hiyo mbezi kimara miaka minne iliyopita na Mungu akipenda amepanga kuhamia siku ya Birthday Yake mwakani tarehe 23 April 2014.
Madee anasema kuwa ameanza kujenga nyumba hiyo mbezi kimara miaka minne iliyopita na Mungu akipenda amepanga kuhamia siku ya Birthday Yake mwakani tarehe 23 April 2014.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment