Mimi na Lucci “Hatumegani kisela” na Hata kama ni ingekuwa kweli haiwahusu; Jokate afunguka


“....Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening.....!!!..
Hayo sio maneno yetu bali ni ya mwanadada Jokate Mwagelo aliyosema jioni ya leo baada ya tetesi kuwa yeye na mtayarishaji wa muziki hapa nchini Lucci wanatoka kimapenzi.
Mwanadada huyu ameamua kufunguka haya yote baada ya tuhuma hizo kumzidi uwezo na yeye kuamua kusema yake ya moyoni.
Lucci na Jokate hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja uitwao kaka na dada ambao ndio umesababisha kuanza kuzagaa kwa tuhuma hizi.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates