{3} MY NAME IS JEFFNikawaza nita wezaje kuonekana mwema ilinibidi ni badilishe mwenendo wa maisha yangu nilijituma kufanya kazi mbalimbali  nikiwa na kazi ya kukusanya taka nyumba hadi nyumba nikiwa na mkokoteni. Sikumoja nili kwenda kutupa taka jalala  nikabahatika kuokota simu nakwabahati sikukuta laini ndani ya simu hiyo naskuweza kujua simu hiyo ni ya nani nikaitazamavizuri na kufungua ndani nikakuta simu nzima nikaichukua simu hiyo nakutafuta laine nikaanza kuitumia, nikawaza na kufikiri kasha nikahisi simu hii simuy hii itanisaidia kufikisha ujumbe wangu kwa watu  mbalimbali ili wasimsahau mungu. Nikatunga ujumbe unaosema “mungu asifiwe lolote anapanga yeye ninani tumuabudie mwingine zaidi yake yeye hakuna aliye jiumba mwenyewe sote katuumba yeye inatupasa tumsujudie”, kasha nikabuni namba nyingi mbalimbali kasha nikatuma ujumbe huo kwa namba mbalimbali ambazo nilizo zibuni. Chakushangaza wengine walinijibu meseji za kunikomesha na kunitukana lakini sikujibu kitu naendelea kufanya kazi zangu zakilasiku nikipata pesa natia vocha katika simu yangu wakati wausiku nikiwa nime tulia nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Tumtukuze mola wetu ameumba pepo na moto kwa Ajili yetu  ametuandalia pepo kwa mema yetu na kaumba moto kwa maasi yetu  je? Tuangalie nyendo yetu? Hatumkosei mola wetu, Je? Pepo itakuwa makazi yetu? Au moto utachoma miili yetu. Tushindane na nyoyo zetu Tumsujudie mola wetu”.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates