USIKU WA BASHASHA NDANI YA GYMKHANA

Utakosajeeeeee!hii si yakukosa kabisaaaaaa,,Usiku wa Bashasha,Jumanne kwe mkesha wa Crissmath,,pale Gmkana,,patarowa Chocklate matenk yotee yata mwagika paleeeee,,,Bob Junior Sharobaro Mr President atawasha moto on stej,,hii si yakukosa mtu wangu,,kwa kiingilio cha elf7 tu,,njoo ufuraike na wezio...........usiku huo utakua na Wasanii kibao yani TID Mnyama,Udeude,Nassir wa Vanilla,Tox star,Ismail kichefchef....nawengine wengiiiiii dah usisubiri uhadisiwe.....jisogeze Gmkana Jumanne kwa kiingilio buku 7tu.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates