BUNGE MAALUM LA KATIBA LIMEANZA LEO:

Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuviambia Vyama vya Siasa kwenye mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania kuwa, “...tusidanganyane, mjadala wa Bunge la Katiba utakuwa kati ya Wanasiasa...tuna Wabunge wa Jamhuri, Baraza la Wawakilishi...katika wale 201 kuna Wanaotoka kwenye Vyama vya siasa, na hata wanaosalia kila mmoja ana Chama...mmekabidhiwa Katiba ya Nchi na sio muundo wa Muungano tu...mnayo mengi ya kujadili kwenye Rasimu hii...“


Nami Ray ninawaamini Wajumbe wa Bunge hili mtatuwakilisha vyema na si kutupeleka kwenye mtanziko wa kimaamuzi..TUNAITAKA KATIBA MPYA YA WATANZANIA NA SI YA WANASIASA!

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates