Ili kumpigia kura fraga producer bora wa mwaka

Ili kumpigia kura fraga producer bora wa mwaka
fungua sehemu sms andika 28 kisha acha nafasi
kisha andika fraga tuma kwenda 15440.
Nyimbo alizotayarisha ni (1)NATOKA LEO_masai wa kigoma(2) ROHO ZINAWAUMA_spince seseme (3) SI UTULIE_nassir vanilla(4) KICHEFU CHEFU_smile
(5) KONKODI_wise de africa (6)SISEMI_sam flavour (7) CHIKWASO ft DEDY_mchaka mchaka (8) NJOO UJIONJEE_sam flavour(9) NDOTO ZANGU_DRAMM ft dedy (10)
OMARY OMARY_spince seseme FT fraga!!

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates