LEO NI BIRTHDAY YA HAKUNA MATATA BAND KWA RAJU HALL

Karibu kwenye birthday ya HAKUNA MATATA BAND leo tutakata Cake na ma Suprise kibao kwako wewe mpenda murudani ya live Band J-malembeka Wigo William Abdul Van Bizo Yoram Young Tozz Na wengine kibao watanogesha ucku wa leo km we ni mjanja bac #kwa_raju ni Good place to Be kiingilio buku 2000 tu mlangoni

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates