NEWS - CHABY SIX ATANGAZA RASMI KUACHA KUFANYA MUSIC

Brother nimeamua kuacha music sijashawishiwa na mtu nimamuzi yangu mwenyewe nikali kaa na familia yangu nao pia wakaheshim mamuz yangu sitangazi kuacha ili nipate promo hapana ila nasema ili Watu waelewe Kua sipo kwenye tasnia tena.
Mshindi wa tuzzo ya msanii bora wa hip hop zanzibar kupitia zanzibar music awards Chaby six mashine ametangaz rasmi kuachana na game ya music akingea na chiwileinc chaby amesema kua huu ni uamuzi alio
chukua yeye mwenyewe sio kwa kushawishiwa na mtu  
"Brother nimeamua kuacha music sijashawishiwa na mtu nimamuzi yangu mwenyewe nika kaa nafamilia yangu nao pia waka heshim mamuz yangu ctangaz kuacha ili nipate promo hapana ila nasema ili Watu waelewe Kua sipo kwenye tasnia tena" Na alipo ulizwa kuhusu nyimboi zake ailisema anaomba wote ambao wana nyimbo zake waziondoe kwenye mitandao na hatua inayo fuata ni kuziandika barua Media zote wasitishe kucheza kazi zake Rasmi  "hatua inayofata nikuomba vyombo ya habari wasipige nyimbo zangu

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates