PICHA - LEO NI BIRTHDAY YA PRODUCER JAY MURDER SOMA ALICHO ANDIKA ROMA KWNYE INSTAGRAM

Straight from tongwe records...daresalaam!!
Miaka 5 sasa jamaa alinipokea na kukubali kile ninachofanya!! na kunipa record deal ndani ya ngome yake !! Na sikumuangusha hata kidogo kuanzia MR PRESIDENT.....KKK!! Na baadoo!!

Till now ikisikika tu ile
vruuuuummmm...tongwe records beib
Unajua bhaaasss shughuli imeanza...!! Tumempatia tuzo 4hadi sasa za KTMA
hiyo ni MATHEMATICS na UKISIKIA PAAH!! ila ameweka heshima kubwa sana kwenye ramani ya hip hop nchini Tanzania kwa kutoa ngoma kali za hip hop!! Chini ya j.rider/yuddy/geof master!!
Tongwe ni kijiji kilichopo tanga na ndiyo asili yetu so tunaidumisha kwa kufanya muziki mzuri na muziki pendwa!!
congrat 4 dat JUNIOR MAKAME a.k.a JAY MURDER n HAPPY BIRTHDAY BROTHER!!
Jamaa amezaliwa leo so we r celebratin...kumuwish maisha marefu!!
Happy birthday jay murder...maisha marefu wewe na familia yako.. (ma men sean a see u niccah)!!
KARIBUNI SANA TONGWE MARAFIKI
Leo tunasikiliza ngoma ngumu tu za tongwe...thatz da playlist!!
Oiiii vruuum tongwe records beib

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates