PICHA - ANGALIA SEHEM YA MAKABURI YA NDEGE"


Umekwisha wahi kufikiria ndege 'zikichoka' na 'kustaafu kazi' zinapelekwa wapi? Haya ni maeneo kadhaa ambapo utakuta "makaburi ya ndege".1. Newbury, Ohio- Marekani 2. Jangwa la Mojave, California- Marekani, 3. The Boneyard, Arizona - Marekani, 4. Pinal Airpark, Arizona-Marekani, 5. Aviation Warehouse, California- Marekani, 6. Khodynka Aerodrome, Urusi, 7. Chernobyl, Ukraine.


Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates