Home
»
zanzibar music awards
» PICHA - MATUKIO YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS 2015
PICHA - MATUKIO YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS 2015
By
Unknown
•
8:49 AM
•
zanzibar music awards
•
Mkurugenzi
wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya
Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara
baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar
Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall
Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor.
Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi tunzo Mwanamuziki Bora wa kiume wa tarabu asili Cholo Ganun.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Dkt. Mwinyihaji
Makame akimkabidhi tunzo ya muandaaji bora wa Tamasha Zanzibar Music
Award mwaka 2015 Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa Redio ya
Zenji FM Mohamed Seif Khatib katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama
Hall Bwawani Mjini Zanzibar.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Dkt. Mwinyihaji
Makame katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Zanzibar
Media Corporation LTD.
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment