DIAMOND NI ZAIDI YA MNAVYO MDHANIA SOMA HIKI ALICHOFANYA

Shukran nyingi ziwafikie Edgepoint Company Ltd kwa kujitolea kunipa Bima ya Afya kwa wakazi 200 wa
Tandale, Bima hiyo ambayo itawaruhusu Wakazi hao kutibiwa bure Hospitalini kwa Kipindi cha Mwaka Mzima bure...bima hizo 100 zitaenda kwa Watoto wa shule ya Tandale Magharibi, 50 kwa wakina mama wajane wa Tandale na 50 kwa watoto yatima wa Tandale...Lengo na duhumi langu si kusaidia Tandale tu, lakini kwakuwa Mwanzo ni mgumu kwa sasa naanzia Tandale ila naamini Wilaya na mikoa Mingine nitafika ku#PushMtaa @bimaafya ni bima ya Afya ya njia ya Sim iliyo nafuu kwa watu wa Kipato cha Chini... waweza wasiliana nasi kwa Htaletale@gmail.com @Bimaafya @Bimaafya

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates