NEW - WAALIM WAHITILAFIANA MCHINI KENYA

Baadhi ya walimu nchini Kenya wamezikashifu miungano ya walimu nchini humo kwa kuandaa migomo zisizozaa matunda. Hii ni baada ya tume ya kutetea haki za walimu, KNUT kusitisha kwa siku 90 mgomo wa walimu ambayo imedumu kwa mwezi moja sasa. Aidha walimu hao wameapa kutoshiriki migomo zingine zitakazoandaliwa na miungano wao katika siku za usoni. Walimu wa Kenya walianza mgomo Septemba 7, 2015 wakidai nyongeza ya asilimia 50-60 baada ya mahakama kuagiza walipwe nyongeza hiyo.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates