NEWS- NACTE YATAKA WANAFUNZI KUPIGA KURA WAKIWA NYUMBANI

Baraza la linalosimamia masomo katika vyuoo vya ufundi nchini Tanzania, National Council for Technical Education (NACTE) limeagiza kufungwa kwa vyuoo vyote nchini humo ili kuwapa wanafunzi nafasi ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanywa Oktoba 25. Adolf Rutayuga, katibu mkuu katika baraza hilo amewataka wahadhiri katika vyuoo hivyo kuhakikisha kwamba hakuna mwanafunzi atakayenyimwa nafasi ya kupiga kura

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates