Family day at Giraffe View Hotel with Wema Sepetu and Omotola

JUMAPILI YA TAR 24TH JUNE, UZINDUZI RASMI WA SUPERSTAR YA WEMA SEPETU UTAFANYIKA...... AMBAPO KWA MARA YA KWANZA WATANZANIA AMBAO HAWAKUPATA KUALIKWA KATIKA EVENT YA TAR 24 WATAWEZA KUMUONA DIVA WA NOLLYWOOD ANAYEFANYA VIZURI DUNIA OMOTOLA JALADE. HII NI MARA YA KWANZA KWA OMOTOLA KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates