Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 na kwa sasa nipo chuo…. Ninapokuwa likizo nyumbani, huwa napenda kutoka na kutembea na baba yangu kuliko mama yangu.Nina hili tatizo, nimekuwa nikivutiwa na baba yangu licha ya kujitahidi hali hiyo isitokee inashindikan. Juzi kati wakati mama yangu alipokwenda kwenye harusi nilimshawishi baba na tukaishia kufanya mapenzi.Kiukweli nina mpenzi ila nimejikuta nikvutiwa zaidi na baba yangu na sielewi ni kwa nini. Najisikia kufanya mapenzi naye tena na tena....
Nifanye nini kuiondoa hali hii....?
Sababu ameniambia mimi ni mtamu kuliko mama (Yeye ni baba yangu wa kambo, ila ni mtamu sana).

Naomba msaada....

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates