KUPITIA PAGE HII,TUNGEPENDA KUWAJULISHA MASHABIKI WOTE WA JUPITER PAMOJA NA WASANII WALIO UNDER JUPITER KUA........HATUTOSHIRIKI KWENYE TUNZO ZA MWAKA HUU KABISA KWA SABABU ZIFUATAZO
1....HAKUNA TAARIFA RASMI TULIOYOIPATA KUTOKA KWA WAANDAAJI KUHUSU USHIRIKI WA MSANII WETU AU STUDIO(zaidi ya kusikia tuu kwa watu na kusoma kwenye mitandao)
2.UTARATIBU MZIMA WA TUNZO KUTOKUELEWEKA(Iikiwemo wasanii kupata number zao za ushiriki kienyeji bila kupewa rasmi na waandaji)
3.NUMBER ZA SIMUZA KUPIGA KURA KWA WASANII KUA ZA KIBINAFSI(ivyo kukosa imani na namna ya zoezi zima la kura litakavyokua sababu namba inayotumika ni kama ya mtu binafsi)
4.HAKUNA UWAZI JUU YA NANI ANASIMAMIA KURA(Tunzo zote hata KMA kunakua na uwazi juu ya nani anasimamia kuhesabu kura na inatangazwa pia kama ni kampuni au vipi)...
5.WAANDAJI KUTOWAHESHIMU WASANII WALIOWACHAGUA KUSHIRIKI KWA KUSHINDWA HATA KUWAJULISHA RASMI NA KUWAPATIA NAMBA ZA USHIRIKI WAO
KUTOKANA NA SABABU HIZO NA NYINGINE NYINGI JUPITER HATUTAWEZA KUSHIRIKI KWENYE TUNZO MPAKA HAPO WAANDAAJI WATAKAPOKUA WAMEREKEBISHA DOSARI IZO
TUNGUMBUKE KUA WASANII WA ZANZIBAR WATAPATA MAENDELEO KWA SISI TUNAOSIMAMIA HII TASNIA KUWAHESHIMU NA KUTHAMINI KAZI ZAO.
TUNAWATAKIA WAANDAJI NA WASHIRIKI WENGINE TUNZO NJEMA
UONGOZI
JUPITER RECORDS
ZANZIBARS

Post a Comment