NILIZO ZIKUTA KWENYE FACEBOOK


Hassan Bond mmoja wa Viongozi toka Jupiter Records Zanzibar akifafanua kuhusu Kutoshiriki tuzo za ZANZIBAR MUSIC AWARDS!

· · · 18 minutes ago via mobile ·
    • Zukham Key Omar ‎2nzo za zanzbr kw kwel zna mapungufu sana they ar rait kuzgomea kwanz binafs yng nakubaliana na vpengele walivyovikosoa lakn tatz lengn nililoliona ni kuzgawa catgory za 2nzo vbya na ktofanana kw washirki utakta msani wa tarabu anawekw na wa bongo fleva yan category nyng lakn meangles NAWASILISHA
      4 minutes ago via mobile ·
    • Ahmad Mdowe Bora walivojitoa coz mtu anapewa 2zo na elf 50000 wakati dar mtu anapewa 1 na laki 5 lazima wandaaji wa 2zo wa Zanzibar wajipange sana ili mziki wa Zanzibar uwe wasamani napia wasanii wadogo na wao wapate nguvu yakunya uzur ktk gemu la muzic ktk km itakuwa mizingua wasanii wote watajitoa kwa mamb ya kijinga wanao fanyiwa............?
      about a minute ago via mobile ·
· · · 3 hours ago ·
#STUDIO YA KUREKONDIA Nyimbo YA JUPITER RECORD ZANZIBAR NA WASANII WAKE WOTE WAMEJITOA KWENYE ZANZIBAR MUSIC AWARDS KWA SABABU NYINGI WALIZO ZITOA WAO...
Meneja WAO ALIONGEA NA BONGOKWETU2 BLOGSPOT NA KUTOA SABABU HIZO...LKN BONGOKWETU IPO NJIANI KUMTAFUTA MENEJA WA ZANZIBAR MUSIC AWARDS ILI NA YEYE AJIBU SHUTMA HIZO then utazipata sauti zao WOTE wakifunguka kweny www.bongokwetu2.blogspot.com tutajulisha soon tuu...!!!
· ·

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates