Sinta & B12 ndio waliokuwa ma MC wa shughuli nzima ya Miss Dar City Center
Recho kwa steji....
Gadna G Habash alikuwa chief jaji
Wema Sepetu alikuwa akiwauliza maswali washiriki
Diamond kwa steji....
my home boy Martin aka Tiny Dad
Bob Junior na nduguye
Ben Kinyaia
Mshindi wa Miss Dar City Center kwa mwaka 2012 ni Matilda Martin
Linah Sanga, Recho & Sharomillioner
Abou & Penniel
Hapana chezea watu na miguu yao
Post a Comment