Inawezekana ukawa hujui, ila Diamond ndiye msanii mwenye mkwanja mnene hapa bongo kutokana na show zake ghali anazoendelea kupiga ndani na nje ya bongo.
Inawezekana ukawa huna taarifa pia Diamond ndiye msanii ambaye yuko juu sana kwa sasa Tazania, na aliyepiga show ghali mwaka jana. pia akiwa katika mahojiano na radio moja hapa tz alifunguka akisema "Underground anayeonekana mwenye mkwanja nampiga hadi milioni tano"
alisema "ninaopata ninajaribu kujenga vibanda vyangu ili viweze kunisitiri manake ninazo nyumba tofauti, tofauti tofauti. nyumba ya tegeta nimejenga miloni 62 ina vyumba vinne vitatu master bed room, ina studio, jiko kubwa choo cha public, stoo, dining na sitting room ni nyumba ya kisasa nyingie ninazozijenga zipo ila sipendi kuzizungumzia"
Post a Comment