WEMA SEPETU @HYATT KILIMANJARO HOTEL
Wageni waalikwa wakiitizama filamu hiyo ya Wema inayoitwa Super Star
Quick Rocker & Frank Gonga
Irene Uwoya
mziki ulinoga viatu vikavuliwa
Mwanadada SHAA jana alifanya show nzuri sana na alitunzwa hela nyingi na kila mtu aliependa alichokuwa akikifanya. Napenda unavyojiamini Shaa endelea na uzi ule ule
Omotola & Wema Sepetu wakiingia ndani ya Hotel ya Giraffe
Hapa Wema alikuwa akimwambia kwa kithungu kile ambacho MC alichokuwa akikizungumza
Ben Kinyaiya, Omotola & Wema Sepetu, hapa alikuwa Omotola akizungumza na watanzania waliofika katika Hotel ya Giraffe
Babuu wa kitaa aka Babu Bomba akiwakaribisha mabibi Bomba kwa steji wapite kama Mamiss
Mtoto huyu alikuja mbele na kuchukua picha za kumbukumbu katika iPad yake
Baada ya hapo huyoooo akajikata zake, hana habari na mtu hahaa
Marafiki zangu Jasmin & Zamda
Hawa dada zangu bwana walikuwa na furaha sana walivyoniona wakasema jamani na sisi tunaomba tujiachie kwenye camera ya djchoka
Chezea Vuvu wewe
Na mimi nikapata picha ya kumbukumbu si mbaya...
Post a Comment