VURUGU ZILITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM.. SHUHUDIA


 Twende garini.....
 Akaaaa sio mimi jamaniiiiiii, Babu (kulia} akijitetea...
 Askari wakimdhibiti babu...
 Babu akishuhshwa garini kuingizwa kituoni.....
 Mgambo wa kike akipambana na kijana kumburuta
kumpeleka garini, baadaye mgambo huyu CHALIII
 Mgambo chaliii,lakini wapi anaye tuuuu....
 Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
 Jamaa akijaribu kueskep ambapo alikula
bonge la mtama na kutambaa kama
hivi na kudakwa na mgambo wa kike....
 Maeneo ya Posta nako hali haikuwa shwali sana
ulinzi uliimalishwa kama hivi...
 Babu panda gari haraka......
 Kijana twende ohooooo.....
 Maeneo ya Kariakoo njia na barabara zote zilikuwa nyeupeeee kama hivi...
 Njia zote za kwenda na kurudi yalikuwa yakitamba magari ya polisi tu.
 Askari wakikagua paspoti ya Raia wa kigeni, ili kumruhusu kupita maeneo hayo....Posta mpya.
 Njia zilifungwa kama hivi....
 Daladala ziliamuliwa kubadili na kupita njia nyingine.....
 Abiria wengi walikwama usafiri....
 wengine waliamua kutembea kwa miguu....
 Askari wa doria ya pikipiki wakikatiza katika mitaa ya Posta Mpya....
                                           Askari wa Mbwa wakiimarisha ulinzi.
FFU wakizunguka maeneo ya Kariakoo leo huku  wakitumia kipaza  sauti  kuwataka  wananchi wote  kurejea majumbani kwao
Hili ni eneo la Msimbazi
Eneo la mzunguko  wa Kariakoo ambalo jiupe kama unavyoliona hapa
 
Hii ni kariakoo sio biashara  mbaya ni usalama hakuna

                                       ingekuwa  vipi kama kariakoo  kila  siku  kungekuwa  hivi?

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates