Wakali toka zanzibar Mr waiz na mwanadada shosti Ghaka wameamua kurudio Video ya ngoma yao ambayo nafanya poa kwenye vitu vya radio kisiwa zanzibar akiongea na chiwileinc toka pande za DSM waiz amesema kua Video ya kwanza haikua kwenye laval ambayo wao wanataka ivyo kwa kujari ubora wa kazi zao wameamua kurudia video Fans wapate bidhaa iliyo kua bora ili maliza Mr waiz
Post a Comment