Home »Unlabelled » OMARY OMARY AFARIKI DUNIA
OMARY OMARY AFARIKI DUNIA
By Unknown • 12:23 PM • • Comments : 0
MSANII
nyota wa miondoko ya Mnanda 'Mchiriku', Omar Omar, amefariki dunia
usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Omar Omar
aliyetamba na nyimbo mbalimbali ukiwemo ule maarufu wa 'Kupata ni
Majaliwa amefariki leo kwa maelezo ya dada wa marehemu Omary alikua anaugua TB kwa mda mlefu ila ilikua anaelekea kupuna adi juzi alipoanza kugua malaria ambayo yamechukua Uhai wake,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, R.I.P Brother
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment