Home
»Unlabelled
» KAMA ULIMISI ALICHO ANDIKA HAMMER BAADA YA KUMPIGA MKEWE SOMA HAPA
KAMA ULIMISI ALICHO ANDIKA HAMMER BAADA YA KUMPIGA MKEWE SOMA HAPA
By
Unknown
•
8:43 AM
•
•
Mambo vp waungwana??
Ningependa kutumia muda huu kuandika kilichopo ktk moyo wangu na kifike kwa jamii yote iliyonizunguka ,
kikubwa zaidi nikuomba msamaha kwenu juu ya tukio nililolifanya wiki
iliyopita, napiga magoti mbele yenu na kukiri kuwa nimewakosea nawaomba
mnisamehe,
hata km ndani
nimeshasamehewa lkn itakuwa siuungwana km sitawaomba msamaha wakubwa
zangu pamoja na wadogo zangu 7bu najua nilichokifanya kiliwauma na
kuwakera sana sana mpaka nashindwa sema ni sana kiasi gani, lkn
sitochoka kuomba msamaha kwenu na sitarudia tttena, ,, kila mtu alisema
lake hata km alikuwa hajui wengine walipata kupendezesha vipindi vyao
kwenye maradio na mablog pamoja na magazeti, mtihani wangu ulikuwa
biashara kwao lkn simlaumu yyt kwani nilifanya kitu cha kijinga na
kisichokuwa na ubinadam,,
c vibaya pia nikijiita mjinga, kwa 7bu
naweza nukuu maandiko yanayosema( HASIRA HUBEBWA NDANI YA KIFUA CHA
MJINGA) siku zote maandiko hayakosei 7buNdio tunayoyafuata, lkn pia.
Ninavojua muungwana ni kujitambua ulipokosea na kuomba msamaha kwani
ukiomba msamaha hata mungu hukupa radhi zake nami niko mbele yenu naomba
msamaha tena ,kwa kweli ni kipindi cha wiki moja iliyosheheni majuto na
maumivu ya moyo na kuikosa amani , nilikuwa nahisi dunia yote
imenielemea niliwaza vingi sn tena ni vibaya sn ila wife wangu alikuwa
mstari wa mbele kunipa moyo hata km nilimkosea , roho ilikuwa inaniuma
sana kuona niliemkosea anakuwa msaada kwangu kwa kila kitu na
ninamshkuru kwa yy kunisamehe naamini wapo wachache sn wenye moyo km
wake , ama kweli hasira hasara na majuto ni mjukuu 7bu yanakuja mwishoni
kabisa Sikufanya kitendo kizuri mbele ya walimwengu mpaka mbele ya
mungu lkn ss nataka niwe mpya kabisaaa. Mwisho kabisa shukran kwa kila
alienisamehe na atakae nisamehe
nataka ktk kichwa chako ww unaesoma ujumbe huu kubaki kauli
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment