Pages - Menu

Wednesday, September 4, 2013

KUMBE DAYNA ALIKUBALI KUMPA DIAMOND MY # 1



 Baada ya msanii Diamond kutuhumiwa kuiba beat ya msanii Dayna, Producer wa ngoma hiyo Sheddy Clever amekiri kweli hiyo ilikuwa project ya zamani ya Dayna ndio maana aliamua kumpa Diamond ila amesema kabla hajaitoa alimjulisha Dayna na akakubali ila anashangaa sasa anamgeuka.

Tulipoongea na Dayna amekana kuhusu producer huyo kumjulisha juu ya kutoa beat yake, Diamond hajapatikana kuweza kuzungumzia hilo

No comments:

Post a Comment