Picha Ya Msichana Aliyemeza Simu Yake ya Mkononi Kumzuia Mpenzi wake Asisome Message Yake
Wivu, uaminifu au chochote unachoweza kufikiria, kimemsababisha msichana
mwenye miaka 19 kutoka Brazil Adriana Andrade kuimeza simu yake ya
mkononi kama njia ya kumzuia boyfriend wake asisome ‘message’ katika
simu yake.
Mtandao wa Hispania Yipeta umeripoti kuwa baada ya tukio hilo msichana
huyo alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kutolewa simu hiyo tumboni
mwake.
No comments:
Post a Comment