Balozi Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika
hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na
kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye
pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi
anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti, alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.
source; GPL
Home »Unlabelled » BABA'KE WEMA SEPETU, AFARIKI DUNIA !
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment