Home » Babu seya » DALILI ZA KUACHIWA HURU BABU SEYA NA MWANAYE: PICHA 13 HIZI HAPA WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI JANA
DALILI ZA KUACHIWA HURU BABU SEYA NA MWANAYE: PICHA 13 HIZI HAPA WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI JANA
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa
rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando
Mahakamani.
Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
Nyuso za matumaini.......
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakati wakitoka mahakamani.
picha zote na habari mseto blog
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment