JB ni mmoja kati ya mabalozi wa Oxfarm Grow akiwepo pamoja na Dina Marios kutoka Clouds FM pamoja na mabalozi wengine. Hizi ni baadhi ya picha za JB akiwa wilayani Lushoto kwenye moja ya kazi zake za kibalozi
Home » JB » JB KWA SASA AMEKIMBILIA LUSHOTO HUKO KWA WASAMBAA NA HICHI NDICHO KILICHOMPELEKA HUKO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment