Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013. |
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini. |
Snura 'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani. |
Mwanadada Ray C akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013 waliokuwa 'wamemmis' kwa muda mrefu. |
Msanii Linah akifanya yake jukwaani. |
Umati wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 |
Mwanadada akitoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club |
Msanii Menina akinyanyuliwa juu na wacheza shoo wake. |
From:GPL
Post a Comment