RIPOTI YAMAUWAJI YA WESTGET HUKO NCHINI KENYA...WALICHOKIFANYA WANAJESHI WA KENYA HAKIFAI HATA KUSIMULIA... CHEKI VIDEO CLIP HII HAPA UJIONEE MWENYEWE

Zimekuwa ni siku nyingi za kubashiri kuhusu kilichojiri wakati wakenya walipotekwa nyara na magaidi kwa siku nne mtawalia. Wakenya zaidi ya sitini walipoteza maisha yao katika jumba la Westgate lakini hadi sasa Wakenya hawajajua ukweli kuhusu yaliyojiri katika jumba la Westgate. - Je ni kweli kuna
waliokuwawametekwa nyara na magaidi na kuzuiliwa katika jumba hilo? - Je ni kweli kuna magaidi waliouawa na wanajeshi? Meza ya upekuzi ya Jicho Pevu na Inside Story usiku na mchana wamekuwa wakidurusu kila ukurasa na kufanya mahojiano na kupitia hatua kwa hatua video za CCTV kutoka jumba la Westgate na sasa wako tayari kukusimulia kilichojiri. Ungana na mwanahabari mpekuzi Mohammed Ali kwenye video ya KTN iliyowekwa hapa chini...

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates