Kendrick Lamar ametajwa kuwa Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa
Jarida La GQ kwenye tolea la Mwanaume Bora wa Mwaka Huu. Je Unakubali
Hilo ?
Well kwenye mahojiano na mkali huyo wa rap yaliyotokea wakati mashairi
yake kwenye wimbo wa Control yanazungumziwa zaidi Kendrick alisema "Sina
tatizo na Drake ila Ataka kama ningekuwa nalo sidhani kama maisha yangu
yange athirika"
Home » KENDRICK LAMAR » Kendrick Lamar Ndio Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ
Kendrick Lamar Ndio Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ
By Unknown • 12:32 AM • KENDRICK LAMAR • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment