SMILE WA KICHEF CHEF ALALAMIKIA STUDIO YA ZENJI RECORDS KUVUJISHA NGOMA YAKE RUHUSA YA MANAGEMANT YAKE

Kuvujisha wimbo wangu bila ruhusa ya usimamizi wngu hakunifanyi mm kushuka kimziki , naombA munisIkilize kwa 

makini shabiki zangu sijatoa wimbo wa aina yoyote kwa muda huu tafadhali usidanganyike, kuna baadhi ya watu lengo lao kunishusha kimziki lakini watashindwa kwa uwezo wa mungu.

 

NYIMBO ILIYO VUJISHWA HII HAPA

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates