Kwa
mujibu wa uchunguzi wa somo moja la Chuo cha Oxford University, ambao
hivi karibuni umekuwa ukizungumziwa kwenye habari, kwamba "wanawake
wenye makalio makubwa huwa wana akili."
Mwanamke mmoja aitwaye Annie Bryan anajichukulia yeye binafsi kama mfano wa juu ya hilo. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 19 makalio yake yana ukubwa wa wastani wa gredi 3.8 na anaamini kwamba ukubwa wa makalio yake ni msingi mkubwa kwake.
Japokuwa, mwanamke huyo bado moja kwa moja haamini somo hilo, kwamba makalio yake yanahusika na uwezo wake kiakili zaidi ya kuona umuhimu wake kwenye maisha yake.
Somo hilo linajaribu kuunganisha uwezo wa mwanamke kufikiri kutokana na kitu kilichoitwa omega-3 fats ambacho husaidia kuunganisha ukuwaji wa akili ya mtu.
Somo hilo pia limesema kuwa makalio makubwa yananasaidia kupunhguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo na kisukari.

Post a Comment