Reasonable Doubt inabaki kuwa album bora
kwa rapper Jay Z Katika album zake zote. Kwenye siku yake ya kuzaliwa
jana akifikisha miaka 44, Jay ameweka orodha hii
kwenye mtandao wake wa lifeandtimes.com
kuwa Reasonable Doubt ndio cd bora na ya mwisho kabisa ni Kingdom Come.Orodha Na Picha Iko Hapa
1. Reasonable Doubt (Classic)
2. The Blueprint (Classic)
3. The Black Album (Classic)
4. Vol. 2 (Classic)
5. American Gangster (4 1/2, cohesive)
6. Magna Carta (Fuckwit, Tom Ford, Oceans, Beach, On the Run, Grail)
7. Vol. 1 (Sunshine kills this album…fuck… Streets, Where I’m from, You Must Love Me…)
8. BP3 (Sorry critics, it’s good. Empire (Gave Frank a run for his money))
9. Dynasty (Intro alone…)
10. Vol. 3 (Pimp C verse alone… oh, So Ghetto)
11. BP2 (Too many songs. Fucking Guru and Hip Hop, ha)
12. Kingdom Come (First game back, don’t shoot me)"
Imeshangaza wengi sababu Reasonable Doubt ilikuwa moja ya album ngumu sana za Jay Z nikimaanisha haikuwa na production na chorus kali kama za Blue Print 3, Pia mashairi yake yali hitaji uelewa wa nguvu ili kujua alichoandika jamaa. Any way wewe mtazamo wako ukoje kuhusu hii orodha ya Jay Z
Post a Comment