Latest Updates

Showing posts with label Dayna. Show all posts
Showing posts with label Dayna. Show all posts

inasemekana Eti HitMaker wa Nivute Kwako Dayna Nyange amekwangua ngozi ya mwili wake na kuwa Mweupeee kama Karatasi, Tazama Picha na uskize alichojibu baada ya kuulizwa na Dalali Mpekuzi Gossip Cop

7:30 AM
•

'Diamond Kaniibia Wimbo Wangu Nilikuwa Nimshirikishe' #MyNumberOne - Dyna Nyange

1:30 PM
•
Baada ya kupata story kuhusiana na mchongo huu, tukaamua kumvutia waya producer Sheddy Clever ambaye amesema Ni project ya zamani ya Dayne na alikuwa ameipotezea kwa muda so nikaona sio kesi nikimpa beat Diamond. Nilimwambia Dayne Kuwa Beat Nampa Diamond ikaeleweka hivyo, Nashanga sasa ananiruka na kubisha .
Dyna leo hii amenitumia ngoma hii anayolalamika kuwa amefanyika 'chimpupute' na Diamond Platinums.. so in sam few minutes, nitaiweka uweze kuisikiliza na kutoa maoni yako.


isikilize hapa

KUMBE DAYNA ALIKUBALI KUMPA DIAMOND MY # 1

12:50 PM
•


 Baada ya msanii Diamond kutuhumiwa kuiba beat ya msanii Dayna, Producer wa ngoma hiyo Sheddy Clever amekiri kweli hiyo ilikuwa project ya zamani ya Dayna ndio maana aliamua kumpa Diamond ila amesema kabla hajaitoa alimjulisha Dayna na akakubali ila anashangaa sasa anamgeuka.

Tulipoongea na Dayna amekana kuhusu producer huyo kumjulisha juu ya kutoa beat yake, Diamond hajapatikana kuweza kuzungumzia hilo
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates