Latest Updates
Showing posts with label Jux. Show all posts
Showing posts with label Jux. Show all posts
HIVI NDIVYO JUX ALIVYOMLIPA DIAMOND KWA KUONESHA JEURI YA PESA
UZINDUZI RASMI WA VIDEO YA JUX YA UZURI WAKO NA SIKUKU YA KUZALIWA KWAKE NDANI YA BILCANAS
Msanii wa muziki wa
kizazi kipya (JUX) aliye zaliwa tar: 01-09-19…. Amezindua video yake
mpya inayo fahamika kwa jina UZURI WAKO pia kulikuwa na shangwe nyingi
sana kwake sababu ilikua ni siku yake ya kuzaliwa pia jana jumaapili ya
tar: 01-09-2013.
Alikuwa na marafiki wa
aina zote na mashabiki ,Siku iyo hakuwa peke ake alikuwa na wasanii
wenzake kama DULL SYKS,KAMIKAZE,QUICK RAKA,SARMIL,MIRROR,V-MONEY( vannesa mdee)RICH MAVOKO na show nzima ilishereheshwa na mtu mzima B-DAZEN,B12-B-TWANGALA toka XXL ya clouds fm.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)


