Witness aja na solution kwa matatizo ya nguvu za kiume


Marafiki wa rapper wa kike nchini, Witness kupitia Facebook husasani wale wa kiume, wamepata somo la bure la jinsi la kuongeza nguvu za kiume.

Hivi ndivyo alivyoandika:

Tsup my pipo, leo ninapenda kutumia facebook vizuri kwa kuzungumzia kazi ya madini ya zinc mwilini na yana patikana katika vyakula vya aina gani na yanaweza kuwa destroyed madini ya zinc yanapatikana haswa kwnye,cereals,nyama aina ya offal,kaa,pweza,ngisi,maharagwe,yeast,uyoga,mbegu za maboga alizeti pamoja na karanga korosho haswa brazilian nuts ina saidia sna kutibu vidonda naturally ndo maana watu wnye madini ya kutosha ya zinc mwililni huwa wanapona haraka kuliko wengine kwa kuwa miiili yetu iliumbwa kujiponya yenyewe, endapo ukaipa lishe bora vitamins na minerals za kutosha, pia husaidia kwenye mental alertness,ngozi kufunctioni zuri hata vichunusi meno na pia husaidia watu wenye matatizo ya manii kama ni ndogo na kushindwa kuzalisha mbegu za kutosha, huongeza uwezo na hamu ya kuchuja nafaka kwa wanaume na wanawake na kuongeza ufanisi wa afya ya viungo vya uzazi na endapo madini haya yakiongezwa na vitamins za nyingine yanaweza kutumika kwa kuondolea sumu mwilini na kusaidia mfumo wa chakula kufunction vizuri.

Kwa hiyo fikiria kaka kila unapo chuja nafaka ni unamwaga 5mg zinc na ukichuja bao tatu yamaanisha umepoteza zinc kiasi gani? hebu tujiulize kila siku unakamua ngapi? na je unakula hivi vitu kweli? ama ndo unaviskia bombani? mwenzenu cassanova alikuwa akila pweza angalau vikamba vyake hamsini kila asubuhi ili kumpatia nguvu na uwezo zaidi wa kuchuja nafaka wewe je? Kama huwezi kwa mtindo huo nipigie nikupe solution 0753 320 009 much love!

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates