Ommy Dimpoz amkamata Lord Eyes akiiba Power windows na vifaa vingine vya gari yake. Jionee picha mwenyewe.

Lord Eyes kwenye eneo la tukio

Jioni ya leo Ommy dimpoz kupitia akaunti
yake ya twitter ametweet kwamba amemkamata
rapper wa Nako 2 Nako Lord eyes akiiba vifaa vya
gari yake ikiwa ni pamoja na Power windows. Jionee
mwenyewe picha alizoweka Ommy dimpoz pamoja
na tweets zake.




Ommy aliongeza kuwa Lord amekuwa akifanya
mchezo huo kwa watu wengi akiwemo jamaa
mmoja wa Clouds anaefahamika kwa jina la Kerry
ambae pia amemfanyia mchezo huo siku za karibuni

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates