Soma Issue ya Dida Kupewa Mimba na Huyu Jamaa Yake

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa Redio  yaTimes, Khadija Shaibu ‘Dida’ hivi karibuni amefungukia madai ya kwamba ana mimba ya mumewe wa sasa, Edzen  Jumanne na kwamba mfumo wake wa kimaisha hasa kwenye ulaji umebadilika.

  Khadija Shaibu ‘Dida’ Katika picha kapakatwa.
Juzikati, chanzo ambacho ni rafiki wa Dida kilichoomba hifadhi ya jina lake kilisema: “Unajua mwanamke mwenye mimba hajifichi, Dida atakuwa kishapachikwa, nyie fuatilieni.”
 
Katika kujua ukweli wa jambo hili la kheri, mwandishi wetu alimtafuta Dida na katika maelezo yake alidai kuwa taarifa hizo hazina ukweli kwani bado hawajapanga suala la kuzaa kutokana na mumewe kuwa na mtoto mdogo aliyemkuta naye ambapo wanataka afikishe miaka mitano ndipo wazae.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates